Category: swahili news
Kenya ni mshirika mkubwa wa Somalia kimaendeleo, asema Waziri Mkuu Khaire
Waziri Mkuu wa Somalia Hassan Ali Khaire ameipongeza Kenya kwa kuwa mshirika nambari moja wa Somalia katika harakati zinazoendelea za...
Rais Kenyatta aagiza kurejeshwa kwa ardhi ya maeneo ya kupokelea samaki
Rais Uhuru Kenyatta leo ameagiza Idara ya Ustawi wa Uvuvi pamoja na Tume ya Ardhi nchini kuchukua hatua za dharura kurudisha ardhi ya...
Marekebisho katika Muungano wa Afrika yatasaidia kuafikia matarajio ya raia, asema Rais Kenyatta
Rais Uhuru Kenyatta amesema kwamba marekebisho ya kitaasisi katika Muungano wa Afrika yatafanikisha weledi wake katika kutimiza mahitaji ya...
Rais Kenyatta aomboleza kifo cha Shameem Ahmed
Rais Uhuru Kenyatta ametuma risala ya rambi-rambi kwa jamaa, ndugu na marafiki wa kabaila Shameem Ahmed ambaye amefariki baada ya kuugua...